top of page

13 Kenyan Excuses That Need Revival At Churchill Show

Umewaijipata msee amekutext walai na namba inakaa familiar but enyewe huezi tu kumbuka ni nani? Unaamaua kuchat na yeye ndo atleast ka-hint katokee anaeza kua ni nani. Mnaendelea kuchat and its clear huyu msee anakutambua mbaya lakini hana habari wewe bado unatafakari ya babu na hujajipata kwa hio psyche ako nayo. Along the way unaamua kumuuliza maswali general kama “waah si umelost, these days uko wapi?” ama kama unashuku ni manzi, “Enyewe unafaa kunitembelea, uko free lini?” Then reply inakam “niko tu chuo, btw uko na ile handout ilipeanwa ya chem?” ama ati “ntakam tu, by the way kesho utakam bible study?”…mmmh saitan is real! Ndo unakumbuka ni ule jamaa wako alikuokolea notes ile time ulihata daro, mkaexchange contacts and somehow ukasahau kusave hio namba….ama on the extreme ends unarealize kumbe ni bible study leader wenu hujawaisave namba yake not to mention wewe kutowai kuenda BS enyewe. Hapohapo ndo jamaa unatoanga kaexcuse thats seriously out of this galaxy. Mimi sasa ndo ule msee hureceive these excuses, the guy on the receiving end. Welcome to the heart of planet earth, welcome to +254704…this is exclusively Kenyan and for Kenyans because they are the ones in that right shoe size to decipher these. These are the 13 Kenyan lost contact excuses that needs revival at Churchill Show.

  1. Simu iliaanguka kwa choo, (ama ati ilianguka kwa kisima na jamaa alikushow anaishi Nai) nkapoteza contacts zote.…ni nn plz?

  2. Plz nkumbushe jina, smartphne yangu imeisha charge so nimetransferline kwa mulika mwizi na ndo nanote kumbe haijakam na contacts.

  3. You won’t believe jana nlishtukia tu nimedelete contacts zote kimchezomchezo tu,

  4. Nlirenew line msee nkasahau kusave zile contacts nkidhani zitakam kwa hii line automatically.

  5. Waah! Nlibuy phone mpya, ile ingine cuzo wangu akaenda nayo plus contacts zote, ni nani plz?J

  6. Phone yangu inashida haisave contacts walai….ni hu?

  7. Walai simu iliniangukia kwa maji…jana tu nkifua nguo most probably simu ya jamaa ka huyu ni ile bado inakunga na phonebook and as we would expect the phonebook became wet.

  8. Phne yangu these days haionyeshi jina ya msee kwa contacts zangu, plz nkumbushe ni nani? seriously difference ni gani sasa hata nikikukumbusha jina yangu.

  9. Hey xaxa, Manze phone ilihang nkapoteza contacts zote! Ni hu btw?

  10. Ile phne yangu ilipotea walai,..nkaloose contacts zote ni nani?

  11. Tume-exchange simu saai tu na bro yangu flani na sasa ndo naona kumbe hata contacts zangu zote zimebaki kwa hio simu yangu…ni hu pliz?

  12. Ni nani?haaaiya kwani ulichange namba tena?ama unakuanga na line mbili?juu hii namba enyewe sina.

  13. Waah! Msee si umelost sana? Manze hadi simu yangu imekusahau jina And for today’s list this definitely takes the Oscar Award for the best contact excuse category.

Featured Posts
Recent Posts
Archive
Search By Tags
No tags yet.
Follow Us
  • Facebook Basic Square
  • Twitter Basic Square
  • Google+ Basic Square
bottom of page